Uwanja wa Michezo wa Zaqatala

Uwanja wa Michezo wa Zaqatala ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2008 kwenye mji wa Zaqatala nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Zagatala PFK na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 3,500. [1]

  1. "World Stadiums - Stadiums in Azerbaijan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-16. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne