Uwanja wa Chuo Kikuu cha Botswana ni uwanja wenye matumizi mbalimbali huko Gaborone,nchini Botswana, unaomilikiwa na Chuo Kikuu cha Botswana. Unatumika zaidi kwa mechi za [mipira ya miguu] na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa [Uniao Flamengo Santos F.C..] Uwanja huo una uwezo wa kubeba takribani watu 8,500.[1]