Uwanja wa michezo wa Mit Okba ni uwanja wa michezo huko Giza nchini Misri. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mpira wa miguu na mechi na unatumika kuandaa michezo ya nyumbani ya Tersana SC. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 15,000.[1]
Developed by Nelliwinne