Uwanja wa michezo wa Richards Bay


Uwanja wa Michezo wa Richards Bay ni uwanja ambao hutuika katika kufanya shughuli mbalimbali za kimichezo huko Richards Bay, KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini. Hutumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka), na kwa sasa ni uwanja wa nyumbani wa kilabu ya Thanda Royal Zulu inayoshiriki Ligi daraja la kwanza, na kwa vilabu vingine kama Mkali Stars FC na Real Classic FC vinavyoshiriki Ligi ya Ligi ya Vodacom.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne