Stade TP Mazembe ni uwanja wenye matumizi mengi uliopo Kamalondo Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Tangu kukamilika kwake mnamo mwaka 2011, umekuwa ukitumika zaidi kwa mpira wa miguu pia ni uwanja wa nyumbani wa TP Mazembe na CS Don Bosco, Uwanja huo una viti 18,000 [1]