Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ni uwanja wa michezo uliopo katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania.[1]
Uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu (soka) mchezo wa kwanza wa Futboli ya Kimarekani nchini Tanzania ulionyeshwa katika uwanja huu, ni uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 20,000.
Uwanja huu ulipewa jina hili ili kumuenzi Meya wa kwanza muafrika Kaluta Amri Abeid.