Vigori (kwa Kilatini: Vigor; Artois, Ufaransa, karne ya 5 - 537 hivi) alikuwa askofu wa Bayeux (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 513 au 514[1] akiingiza Wapagani wengi katika Kanisa Katoliki kama alivyofanya mlezi wake, Vedasto wa Arras[2] [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba[4].
{{cite web}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)