Virginio Pizzali (28 Desemba 1934 - 14 Novemba 2021) alikuwa mchezaji wa baisikeli kutoka Italia. Aliwashiriki katika Michezo ya Olimpiki ya 1956, na kushinda medali ya dhahabu katika mashindano ya mbio za pamoja.[1][2]
Developed by Nelliwinne