Volteji

Betri mara nyingi hutumiwa kama chanzo cha volteji

Volteji (kwa Kiing. voltage) ni kani inayosababisha mwendo wa mkondo wa umeme. Asili ya kani hiyo ni tofauti uweza wa umeme kati ya sehemu mbili tofauti katika saketi. Volteji hupimwa kwa vizio vya volti (V).


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne