Waasa ni kabila dogo la watu wa Mkoa wa Manyara, Tanzania Kaskazini. Mwaka 1999 walihesabiwa kuwa 300 tu, baada ya wengine kumezwa na kabila la Wamasai.[1]
Zamani walikuwa wakiongea lugha ya Kiaasáx, iliyoitwa pengine "Kidorobo".
- ↑ Ethnologue report for language code: aas