Wafipa

Wafipa ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Rukwa, hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Lugha yao ni Kifipa.

Hapo awali, miaka ya 1880, waliongozwa na Mtemi Kapufi wa Nkansi. [1][1] Ilihifadhiwa 13 Januari 2024 kwenye Wayback Machine.

  1. Historia na Utamaduni wa Wapimbwe - Peter Mgawe

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne