Wagisu

Wagisu ni tawi la kabila la Wamasaba linaloishi kwenye mlima Elgon, mashariki mwa Uganda (wilaya ya Mbale).

Wanahusiana sana na Wakusu wa Kenya.

Leo wengi wao ni Wakristo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne