Wakami

Wakami ni kabila la watu wa Tanzania, jamii ya Wakaguru, wanaoishi katika Mkoa wa Morogoro, kwenye wilaya za Kilosa, Mvomero na Morogoro Vijijini.

Lugha yao ni Kikami.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne