Mtakatifu Genevieve akiwekwa wakfu na askofu: mchoro wa mwaka 1821 (Ste. Genevieve, Missouri).
Wakfu (kwa Kiarabu وقف) inamaanisha hali ya kutengwa na matumizi mengine, hasa kwa ajili ya matumizi ya kidini au manufaa kwa umma tu.
Watu, vitu na mahali wanaweza kuwekwa wakfu kwa namna mbalimbali.