Wamakonde

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Makonde

Wamakonde ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara. Pia wako Msumbiji.

Lugha yao ni Kimakonde.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne