Wanawake wa Angola

Mwanamke wa Angola akishiriki katika elimu ya watu wazima.

Wanawake wa Angola, kama wanawake wengine wa Afrika, wana majukumu mbalimbali katika jamii ya nchi ya Angola.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne