Wanilamba

Wanilamba (au Wanyiramba) ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi mpakani mwa mikoa ya Singida na Shinyanga. Vijiji vya mpakani mwa Tabora wanapopatikana ni: Shelui, Mgongo, Nkonkilangi, Nsunsui, Mingela na Dolomoni.

Lugha yao ni Kinilamba, mojawapo ya lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne