Wanyasa ni kabila la watu wanaoishi hasa upande wa kaskazini mashariki wa ziwa Nyasa, kati ya nchi za Malawi, Tanzania na Msumbiji[1]. Pengine wanaitwa pia Wamanda[1].
Mwaka 2010 walikadiriwa kuwa 500,000[2].
- ↑ 1.0 1.1 Yakan, Muḥammad Zuhdī (1999). Almanac of African Peoples & Nations. Transaction Publishers. uk. 580. ISBN 978-1-56000-433-2. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2012.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- ↑ Appiah, Anthony; Gates, Henry Louis (17 Februari 2010). Encyclopedia of Africa. Oxford University Press. uk. 259. ISBN 978-0-19-533770-9. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2012.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)