Wanyore (au Wanyole; wao hujiita: Abanyole) ni kabila la watu wa jamii ya Waluhya wanaoishi magharibi mwa Kenya, katika Bunyore, kaunti ya Vihiga.
Developed by Nelliwinne