Waorma

Waorma ni kabila la watu (70,000 mwaka 2005) wa jamii ya Wakushi wanaoishi mashariki mwa Kenya, karibu na mwisho wa mto Tana.

Lugha yao ni Kiorma, lahaja ya Kioromo, mojawapo kati ya lugha za Kikushi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne