Waorthodoksi wa Mashariki ni jina linalotumika pengine kuhusu Wakristo wa Makanisa ya Mashariki ambayo katika karne ya 5 yalitengana na Wakatoliki na Waorthodoksi kwa kutokubali uamuzi wa mojawapo kati ya Mitaguso ya kiekumeni, hasa ile ya Efeso (431) na Kalsedonia (451).
Makanisa hayo ni ya kitaifa, kama vile:
Jumla ya waumini ni milioni 84 hivi, wengi wao wakiwa Waethiopia.