Waribe

Waribe ni mojawapo kati ya makabila tisa (maarufu kama Mijikenda) ya pwani ya Kenya.

Waribe wanapakana na Wachonyi na lugha zao zinakaribiana kushinda Wamijikenda wengine.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne