Warner Bros. Entertainment, Inc. (pia inajulikana kama Warner Bros. Pictures, au rahisi zaidi Warner Bros. — kifupi cha jina rasmi la zamani ambalo bado hutumika Warner Brothers[1]) ni kampuni mojawapo kati ya watayarishaji wakubwa duniani wa filamu na burudani za televisheni.
Ni kundi kubwa la burudani, studio ya filamu na studio ya rekodi. Inamilikiwa na Time Warner.
Wanao hakimiliki ya mfululizo wa filamu wa Harry Potter, mfululizo wa filamu ya Batman, na mfululizo wa filamu ya Superman, DC Extended Universe.
{{cite web}}
: Check date values in: |date=
(help); Cite has empty unknown parameter: |1=
(help)