Wasamia ni kati ya koo kubwa za Waluhya (Abaluhya) katika magharibi ya Kenya, hasa kaunti ya Busia na Kakamega, lakini pia nchini Uganda.
Developed by Nelliwinne