Wasizaki

Wasizaki ni kabila la watu kutoka kaskazini-magharibi mwa nchi ya Tanzania, karibu na Ziwa Viktoria.

Mwaka 1987 idadi ya Wasizaki ilikadiriwa kuwa 82,000 [1].

Lugha yao ni Kisizaki.

  1. [1]

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne