Watutsi

Ikulu ya mfalme wa Watutsi huko Nyanza, Rwanda.
Paul Kagame, Mtutsi maarufu zaidi.

Watutsi ni tabaka (kuliko kabila) la watu wa Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na maeneo ya kandokando kama vile Uganda na Tanzania.

DNA inaonyesha kwamba wana undugu mkubwa na makabila ya Kibantu ya jirani, hasa Wahutu.

Lugha zao ni Kinyarwanda na Kirundi.

Upande wa dini, wengi ni Wakristo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne