Waxhosa

Makala hii kuhusu "Waxhosa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Mavazi ya Waxhosa

Waxhosa ni moja miongoni mwa makabila ya Afrika Kusini. Wako mnamo milioni 8 na lugha yao ni Kixhosa. Watu maarufu wengi kutoka Afrika Kusini walikuwa wa kabila hilo wakiwemo Nelson Mandela na Thabo Mbeki


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne