“We're Almost There” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Forever, Michael | |||||
Imetolewa | 1975 | ||||
Muundo | 7" | ||||
Imerekodiwa | 1974, Hitsville West, Los Angeles, California | ||||
Aina | Soul | ||||
Studio | Motown | ||||
Mtunzi | Brian Holland Eddie Holland | ||||
Mtayarishaji | Brian Holland | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"We're Almost There" ni wimbo wa mwaka wa 1975 uliotolewa kama single na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu unatoka katika albamu yake ya mwisho kutolewa na studio ya Motown, Forever, Michael. Wimbo huu umekuja tofauti na zile ya awali, humu amekuwa maarufu sana kwa sababu alikuwa akiimbia sauti ya juu na kubana. Kwa kufuatia hali ya sauti ya Jackson kubalehe, Motown wakajikuta na hali ngumu kutafuta maujanja yatakayomfaa Jackson, ambaye alikuwa akiimba kwa sauti kubwa kwa kipindi chake chote cha Motown (1969-1975).