“We've Got Tonight” | ||
---|---|---|
![]() | ||
Single ya Bob Seger & The Silver Bullet Band | ||
B-side | "Aint Got No Money" | |
Imetolewa | 1978 | |
Mtunzi | Bob Seger |
"We've Got Tonight" (awali ikiitwa "We've Got Tonite") ni wimbo wa 1988 uliotungwa na Mmarekani Bob Seger kutoka albamu yake Stranger in Town. Wimbo huu ulikuwa Single iliyovuma kwa Seger naulifika nafasi ya 13 katika chati za Billboard Hot 100 na ulipokea umaarufu katika redio nyingi ukichezwa mara kwa mara katika mwenendo wa adult contemporary. Hata hivyo wimbo huu haukupata umaarufu wa haraka nchini UK, huku ukifika #41 huko lakini ulifika #22 wakati wa toleo la 1988.