| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Cymru am byth (Kiwelisi) "Welisi milele" | |||||
Wimbo wa taifa: Hen Wlad Fy Nhadau (Kiwelisi) Nchi ya mababu yangu | |||||
Mji mkuu | Cardiff | ||||
Mji mkubwa nchini | Mji mkuu | ||||
Lugha rasmi | Kiwelisi, Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme wa Kikatiba Charles III wa Uingereza Rishi Sunak Mark Drakeford | ||||
Muungano wa Welisi Mfalme Gruffudd ap Llywelyn |
1056 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
20,779 km² () | ||||
Idadi ya watu - 2017 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
3,124,0001 () 3,063,456 140/km² () | ||||
Fedha | Pound sterling (GBP )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC0) BST (UTC+1) | ||||
Intaneti TLD | .uk2 | ||||
Kodi ya simu | +44
- |
Welisi (kutoka Kiingereza: Wales; kwa Kiwelisi: Cymru matamshi ?: kimru) ni nchi ya Ulaya kwenye kisiwa cha Britania na sehemu ya Ufalme wa Muungano.
Welisi ni rasi kubwa inayoingia katika sehemu ya Bahari Atlantiki inayotenganisha Britania na Eire (Ireland). Inapakana na Uingereza upande wa mashariki. Pande nyingine ni pwani. Eneo lake lote lina km² 20,735.
Mji mkuu ni Cardiff (kwa Kiwelisi: Caerdydd).