“When You Say Nothing at All” | ||
---|---|---|
Single ya Keith Whitley | ||
B-side | "Lucky Dog" | |
Imetolewa | Septemba 1988 | |
Urefu | 3:40 | |
Studio | RCA |
"When You Say Nothing at All" ni wimbo wa mwenendo wa country uliotungwa na by Paul Overstreet na Don Schlitz. Ni mmoja wa zile nyimbo ambazo zinajulikana kuvuma zaidi kwa wasanii watatu: Keith Whitley, ambaye aliuchukua uongzini mwa chati za Billboard Hot Country Singles mnamo 24 Desemba 1988; Alison Krauss, ambaye toleo lake lilikuwa lake la kwanza la solo katika kumi bora za mwenendo wa country zilizovuma mnamo 1995; na mwimbaji wa Ireland Ronan Keanting ambaye toleo lake lilikuwa solo yake ya kwanza na liliongoza chati za UK.