Wiesbaden

Nembo Ramani
Nembo la Wiesbaden
Mahali pa Wiesbaden katika Ujerumani

Wiesbaden ni mji mkuu wa jimbo la Hesse nchini Ujerumani mwenye wakazi 275,000. Mji uko katika bonde kando la mto rain.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne