Wilaya, tarafa na kata za Kenya - orodha ifuatayo ni ya muda ili kuandaa makala ya kata na tarafa za Kenya.
Chanzo chake ni orodha lifuatalo: [1] Ilihifadhiwa 18 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
Mikoa ya Kenya ilikuwa kama ifuatavyo: Bonde la Ufa - Kaskazini-Mashariki - Kati - Magharibi - Mashariki - Nairobi - Nyanza - Pwani
Wilaya mpya zilizoanzishwa miaka 2005-2006 zilifutwa na katiba mpya ya mwaka 2010:[1][2]
Mkoa wa Nairobi: Nairobi West Nairobi East Nairobi North
Mkoa wa Pwani: Kilindini Kinangoand Kaloleni
Mkoa wa Kaskazini-Mashariki: Wajir North Wajir East
Mkoa wa Mashariki: Imenti North Imenti South Meru Central Tigania Igembe Kitui North Kitui South Yatta Kangundo Kibwezi
Mkoa wa Kati: Nyandarua North Nyandarua South Nyeri North Nyeri South Murang'a North Murang'a South Kiambu East Kiambu West Gatundu
Mkoa wa Bonde la Ufa: Turkana North Turkana South Trans Nzoia North Trans Nzoia South East Pokot Uasin Gishu North Uasin Gishu South Laikipia West Laikipia East Molo Naivasha Subukia Narok North Narok South Kajiado Loitoktok
Mkoa wa Magharibi: Kakamega North Kakamega South Vihiga/Emuhaya Hamis/Sabatia Butere Mumias Bungoma North Bungoma South Bungoma East Bungoma West
Mkoa wa Nyanza: Kisumu East Kisumu West Rongo South Kisii Masaba