Wilaya ya Buret ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Litein.
Kwa sasa imegawanywa kati ya kaunti ya Bomet na kaunti ya Kericho.
Developed by Nelliwinne