Wilaya ya Kahama

Mahali pa Kahama (kijani) katika mkoa wa Shinyanga.

Wilaya ya Kahama ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Shinyanga. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 596,456 [1].

Tangu mwaka 2012 wilaya hii ilimegwa kuwa wilaya 2 za Kahama mjini na vijijini.[1][2][3]

  1. https://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf
  2. https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Shinyanga%2037000_1622733004.pdf
  3. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-03-26. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne