Wilaya ya Kahama Vijijini ilikuwa wilaya ya Mkoa wa Shinyanga. Ilianzishwa baada ya kugawa Wilaya ya Kahama ya awali.
Wakati wa sensa ya 2012 wilaya ilikuwa na wakazi 334,417. [1]
Tarehe 23 Novemba 2012 iligawanywa katika Wilaya ya Msalala na Wilaya ya Ushetu.
Kata zake zilikuwa:
Bugarama | Bukomela | Bulige | Bulungwa | Bulyanhulu | Busangi | Chambo | Chela | Chona | Idahina | Igunda | Igwamanoni | Isaka | Jana | Kashishi | Kinamapula | Kisuke | Lunguya | Mapamba | Mega | Mpunze | Mwalugulu | Mwanase | Ngaya | Ntobo | Nyankende | Sabasabini | Segese | Shilela | Ubagwe | Ukune | Ulewe | Ulowa | Ushetu | Uyogo