Wilaya ya Karagwe

Mahali pa Karagwe (kijani cheusi) katika mkoa wa Kagera (kijani) na Tanzania kwa jumla.

Wilaya ya Karagwe ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Kagera, Tanzania, yenye postikodi namba 35400 [1].

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 332,020 [2] na katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 385,744 [3].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
  2. Sensa ya 2012, Kagera - Karagwe-District-Council
  3. https://www.nbs.go.tz

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne