Wilaya ya Keiyo ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa Iten / Tambach.
Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Elgeyo-Marakwet.
Developed by Nelliwinne