Wilaya ya Malindi | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mkoa | Pwani |
Mji mkuu | Malindi |
Eneo | |
- Jumla | 7,751 km² |
Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 544,303 |
Wilaya ya Malindi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Malindi.
Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kilifi.