Wilaya ya Mbeere

Usimbishaji kwenye lambo la Masinga.

Wilaya ya Mbeere ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya tangu mwaka 1996 hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Siakago.

Kwa sasa imekuwa tena sehemu ya kaunti ya Embu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne