Wilaya ya Nyando ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Awasi.
Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kisumu.
Mamlaka za Mitaa (Halmashauri) | |||
Mamlaka | Aina | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* |
---|---|---|---|
Awasi | Jiji | 48.725 | 1.654 |
Ahero | Jiji | 40.232 | 212 |
Muhoroni | Jiji | 38.924 | 2.205 |
Jumla | -- | 460.939 | 11.084 |
* 1999 census. Source: [1] |
Maeneo ya utawala | |||
Tarafa | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Nyakach | 59.652 | 0 | |
Muhoroni | 92.641 | 1.857 | |
Awasi | 56.998 | 405 | |
Lower Nyakach | 54.722 | 1.702 | |
Miwani | 67.060 | 3.850 | |
Upper Nyakach | 78.827 | 1.465 | Nyakach |
Sameta | 51.039 | 0 | |
Jumla | 460.939 | 9.279 | -- |
2009 census. Sources: |