![]() | Unganisha! Imependekezwa makala hii iunganishwe na Wilaya, tarafa na kata za Kenya. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Chagua moja kati ya makala ili ibaki (kwa kawaida ile yenye jina sahihi zaidi), ingiza habari kutoka nyingine, ondoa kasoro, hifadhi. Kisha futa makala nyingine. |
Jamhuri ya Kenya |
![]() Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Nchini Kenya kulikuwa na wilaya zifuatazo 71 zilizogawiwa katika tarafa 262. Makao makuu ya kila wilaya hutajwa katika mabano. Kuundwa kwa wilaya 30 za nyongeza imetangazwa mwaka 2006 lakini kulifutwa na katiba mpya ya mwaka 2010.