Wilaya ya Igunga

Mahali pa Igunga (kijani) katika mkoa wa Tabora.

Wilaya ya Igunga ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Tabora yenye postikodi namba 456.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 399,727 [1] Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 546,204 [2].

  1. Sensa ya 2012, Tabora Region - Igunga District Council
  2. https://www.nbs.go.tz

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne