Wilaya ya Kalambo

Wilaya ya Kalambo
Wilaya ya Kalambo is located in Tanzania
Wilaya ya Kalambo
Wilaya ya Kalambo

Location in Tanzania

Majiranukta: 8°18′12″S 31°31′10″E / 8.30333°S 31.51944°E / -8.30333; 31.51944
Nchi Tanzania
Mikoa Mkoa wa Rukwa

Wilaya ya Kalambo ni wilaya mpya katika mkoa wa Rukwa yenye postikodi namba 55400, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.[1]

Makao makuu ya wilaya yako Matai.

Mkuu wa wilaya wa kwanza alikuwa Moshi Chang'a. [2]

Wilaya limepokea jina kutoka mto Kalambo unaopita hapa hadi kuishia kweye Maporomoko ya Kalambo upande wa Zambia.

Idadi ya wakazi wa wilaya ilikuwa 207,700 wakati wa sensa ya mwaka 2012. [3] Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 316,783 [4].

  1. Staff (9 Machi 2012). "Tanzania: State Gazettes New Regions, Districts". Daily News. Dar es Salaam, Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-23. Iliwekwa mnamo 2014-01-13.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Siyame, Peti (3 Julai 2012). "Tanzania: Truance Irks Kalambo DC". Daily News. Dar es Salaam, Tanzania.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Sensa ya 2012, Rukwa - Kalambo District Council
  4. https://www.nbs.go.tz

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne