Wilaya ya Kyerwa ni wilaya mojawapo kati ya 8 za mkoa wa Kagera, Tanzania, yenye postikodi namba 35800 [1] ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012[2].
Wakati wa sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 453,654 [3].
Makao makuu ya wilaya yako Ruberwa[4].
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
- ↑ http://tanzaniangovernment.blogspot.com/2013/07/rais-kikwete-azindua-wilaya-ya-kyerwa.html Ilihifadhiwa 29 Machi 2015 kwenye Wayback Machine. Rais azindua Wilaya ya Kerya
- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-26. Iliwekwa mnamo 2015-09-13.