Wilaya ya Musoma Vijijini

Mahali pa Musoma Vijijini (kijani cheusi) katika mkoa wa Mara.

Wilaya ya Musoma ni wilaya mojawapo kati ya 9 za Mkoa wa Mara yenye postikodi namba 31200.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 330,953 [1] na katika ile ya mwaka 2022, baada ya kumegwa, walihesabiwa 266,655 [2].

  1. "Tanzania census Musoma Rural". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-18. Iliwekwa mnamo 2003-12-18.
  2. https://www.nbs.go.tz

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne