Wilaya ya Mwanga

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama hapa
Mahali pa Mwanga (kijani kilichokolea) katika mkoa wa Kilimanjaro.

Wilaya ya Mwanga ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 131,442. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 148,763 [1].

  1. https://www.nbs.go.tz

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne