Mahali pa Ngara (kijani) katika mkoa wa Kagera.
Wilaya ya Ngara ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania, yenye postikodi namba 35700 [1].
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.