Wilaya ya Njombe ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Njombe.
Maeneo ya wilaya ya Njombe ya awali yaligawiwa kwa wilaya tatu:
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi waliobaki katika eneo la sasa walihesabiwa 109,311 [2].
Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa Wabena.