Willem van Kooten

Willem van Kooten (1968)

Willem van Kooten (7 Januari 19413 Januari 2025) alikuwa mfanyabiashara na DJ kutoka Uholanzi aliyejulikana kwa jina la Joost den Draaijer. Alizaliwa Hilversum. [1]

  1. "Radiopionier Willem van Kooten (83) overleden, bedenker van Top 40". NOS Nieuws (kwa Kiholanzi). 2025-01-03. Iliwekwa mnamo 2025-01-03.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne